Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

BAJETI MBADALA(KIVULI) YA KAMBI YA UPINZANI 2011/12

with 7 comments

View this document on Scribd
Advertisements

Written by zittokabwe

June 15, 2011 at 12:33 PM

7 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Mheshimiwa Zitto. Pamoja na bajeti yako. watu wanasema inatakiwa kila anayepata kipato alipe kodi halali hawa ni pamoja na:
  Nyumba za kulala wageni nyingi hazilipi kodi ipasavyo.
  Kumbi za kufanyia mikutano na hasa harusi hazilipi kodi na fedha wanayopata ni kubwa sana. Humo hulazimishwa kitolewe chakula kwa gharama kubwa, mapambo. Wengine hupata hadi sh. milioni 2 kwa shughuli ya siku moja.
  Makampuni ya simu yanapata fedha nyingi kutokana na promosheni zao lakini inawezekana hawalipi kodi halali
  Washereheshaji au ma-MC wanalipwa fedha nyingi sana na hawalipi kodi yoyote.
  Madalali wa viwanja vya kujenga nyumba na nyumba zenyewe hawalipi kodi

  Iwekwe kuwa kuanziasasa hakuna mtu ambaye atafapata kipato chochote kisicholipiwa kodi. Kila mmoja wetu ni lazima alipe kodi ndipo huduma za jamii zitapata fedha ya kuhudumiwa.

  R. Wakalyati

  June 15, 2011 at 1:01 PM

 2. brilliant budget

  imeoutsmart bajeti ya serikali vibaya mno

  June 15, 2011 at 1:03 PM

 3. Fantastic speech! Thank you CHADEMA, thank you Zitto!

  Neema Usiri Iversen

  June 15, 2011 at 4:26 PM

 4. This is good people you should see this!!!

  Fredrick E Shayo

  June 15, 2011 at 5:12 PM

 5. magari ya kifahari yapunguzwe ili fedha nyingi itumike kuhudumia jamii kwani wao ndio walipakodi wakuu.

  gerald

  June 16, 2011 at 12:13 AM

 6. Inaonyesha ni jinsi gani hakuna vilaza ndani ya CDM, THEY ARE ALL GREAT THINKERS. BIG UP TO ALL

  OBADIA

  June 16, 2011 at 6:41 PM

 7. kwa kweli ni bajeti nzuri na ninaisifu kwa kweli all the best
  Zitto

  Masumbuko Semarundu

  June 18, 2011 at 4:36 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: