Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Private Member’s Bill: Notice to Establish a Parliamentary Budget Office

with 4 comments

Update:

Following  wide consultation and a meeting between several members of the house and Policy Forum i have decided to withdraw the bill. After improvement the bill will be presented by group of MPs together. Hon. Ndugulile will coordinate the group

Zitto Kabwe

 

OBJECTIVES/ REASONS FOR THIS BILL

The objective of this Bill is to enact a law establishing a Budget Office under Parliamentary Service; to provide for a budgetary procedure and oversight of the National Budget.

The Bill is divided into Five Parts as follows:-.

Part 1 contains  preliminary provisions which  include a short title, commencement date and interpretation clause.  Part II deals with provisions establishing the Budget Office and its functions.

Part III  contains provisions that set out the budgetary process; the  National Budget Plan, annual estimates and preparation of budget by public corporations. Part IV makes proposals for oversight  monthly publication of  revenues of the National Budget and  compliance report .

Part V provides for miscellaneous issues such as authority to obtain information and regulations.

MADHUMUNI NA SABABU

Muswada huu unakusudia kutunga Sheria itakayoanzisha Ofisi ya Bajeti itakayokuwa chini ya Ofisi ya Bunge, kuainisha mchakato wa kushughulikia Bajeti ya Serikali na usimamizi wake.

Muswada umegawanyika katika Sehemu Kuu Tano:-

Sehemu ya Kwanza inahusu mambo ya utangulizi ambayo ni jina la Sheria , tarehe ya Sheria kuanza kutumika na tafsiri ya maneno mbalimbali yaliyotumika katika Sheria hii. Sehemu ya Pili inaanzisha Ofisi ya Bajeti, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Bajeti pamoja na kuainisha majukumu yao.

Sehemu ya Tatu inahusu mchakato wa kutengeneza Bajeti, makisio ya mwaka na utaratibu wa taasisi za umma kuwasilisha Makisio ya Bajeti zao kwenye Wizara Mama.

Sehemu ya Nne inahusu utaratibu wa usimamizi wa fedha za Serikali na Sehemu ya Tano inahusu masuala ya jumla ambapo inatoa utaratibu wa kutoa taarifa na mamlaka ya kuandaa Kanuni chini ya Sheria hii.

Dar-es-Salaam

03 Juni, 2011

Zitto Zuberi Kabwe

Mbunge wa Kigoma Kaskazini

View this document on Scribd

4 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. wel creating more commitee resulted to increasing budget and the team should analyas the way that tume inafanya kazi,coz inakua ni yale yale ya tume zisizo na impact yoyote.

  nganyagwa moses

  June 3, 2011 at 5:36 PM

 2. Ni hatua nzuri yenye mwelekeo bora.
  Mh. Zitto naomba utuwekee huo mswada wa sheria hapa jamvini ili tuusome na kuchangia maoni yetu.

  Naomba sana kama taratibu za bunge zinaruhusu basi ufanye hivyo ili sisi wapiga kura wako tukushauri.

  Asante sana.

  Eng. Dr. Magafu, F.F (Ph.D - Civil Engineering)

  June 4, 2011 at 7:59 AM

 3. Mungu akusaidie mh.zitto na uongozi woote wa chadema part tuko pamoja!

  Baraka Daniel Kubuka

  June 4, 2011 at 12:59 PM

 4. Following a wider consultation and a meeting between several members and Policy Forum i have decided to withdraw the bill. After improvement the bill will be presented by group of MPs together. Hon. Ndugulile will coordinate the group

  Zitto

  June 7, 2011 at 7:29 AM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: