Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Taarifa ya Utekelezaji wa Mfuko wa Jimbo-Kigoma Kaskazini hadi mwezi Mei, 2011

with 8 comments

View this document on Scribd
Advertisements

Written by zittokabwe

May 23, 2011 at 2:12 PM

8 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Safi sana Mhe.

  hivi kuna sheria ambayo inawabana wabunge wote kuwasilisha taarifa kama hii?

  Regards
  Abel

  Abel Kaseko

  May 23, 2011 at 2:17 PM

 2. Mfano wa kuigwa kwa viongozi wote ….

  manyoolo

  May 23, 2011 at 3:04 PM

 3. Mkuu,Umenikumbusha enzi za kampeni TBC ulisema …mimi ni Mbunge mjanja ..(kama sijakosea) Aminia

  chediel

  May 23, 2011 at 3:51 PM

 4. Safi sana kaka, huu ni mfano wa viongozi tunaowataka CHADEMA, Hongera sana

  Maneno

  qsndebile

  May 23, 2011 at 6:18 PM

 5. Kazi nzuri sana. Ni jambo la kutia moyo kuona kuwa tuna viongozi wenye uthubutu wa walau kuonesha vipi jasho letu limetumika katika maendeleo yetu. Kazi yetu wananchi ni kuhakiki hayo yaliyotajwa na kusaidia kila inapobidi ili kukamilisha malengo

  Saidi Msonga

  May 25, 2011 at 12:35 PM

 6. 9c kigoma,kaka zitto peleka hoja binafsi bungeni ili mifuko hiyo ikaguliwe kwa sababu kuna ufisadi wa kutisha.

  GASPARY ALBERTO

  July 22, 2011 at 3:16 PM

 7. 3.5m imetumika kuchangia ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu, je huu ni utumizi mzuri wa fedha?

  Farida

  August 24, 2011 at 1:58 PM

 8. Ni hatua nzuri ya kwanza kuelekea kwenye open government. Bila shaka hatua hii itaendelezwa na pia taarifa hizi zitawafikia wananchi katika maeneo yao. Asante

  Mkama Mwijarubi

  October 7, 2011 at 4:24 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: