Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari-stimulus Package Tarehe: Alhamisi Aprili 14, 2011

with 2 comments

View this document on Scribd

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Mhe. Kabwe,
  Asante kwa juhudi yako ya kuweka marejeo ya kazi zako hapa. Zinatufaa na kutusaidia sana wengi ambao tunashindwa kufuatilia moja kwa moja vikao na maamuzi ya Wabunge na Serikali yetu.
  Unafanya jambo la msingi sana, matumizi mazuri ya TEKNOHAMA na uwekaji mzuri wa kumbumbukumbu kieletroniki (e-library).
  Tafadhali usiache!
  Thanks for this and all other documents you’ve uploaded.

  Subi

  April 14, 2011 at 4:42 PM

 2. Kamanda,

  Nakushukuru sana kwa taarifa hii na nyengine nyingi ambazo tunazipata. Tupo pamoja katika haya mapambano na tunaomba uendelee kuujulisha Umma kazi uzifanyazo nasi tutazidi sambaza taarifa.

  Shukrani sana.

  Sajjo L.M.

  April 21, 2011 at 10:47 AM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: