Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Swali la Nyongeza la Tarehe Aprili 11, 2011

leave a comment »

MHE. KABWE Z. ZITTO: Mheshimiwa Spika, habari za miradi tunazisikia kila siku na hazitekelezwi.

SPIKA: Mheshimiwa Zitto hili sio swali la Umeme hili ni la Kodi .

MHE. KABWE Z. ZITTO: Namuuliza Mheshimiwa Naibu Waziri wa Fedha kwamba moja ya sababu inayosababisha mapato ya TRA kutokusanya vya kutosha ni kutokukua kwa uchumi.  Nishati ya umeme ni ingredient muhimu sana katika ukuaji wa uchumi.  Ni kwa vipi Waziri wa Fedha hana takwimu za kuonyesha namna gani ambavyo mgao ambao unaendelea mpaka hivi sasa umeathiri mapato ya Serikali?

NAIBU WAZIRI WA FEDHA (MHE. GREGORY G. TEU):

Mheshimiwa Spika, nimesema wazi kwenye jibu langu la msingi kwamba mgao wa umeme pekee hauathiri makusanyo ya umeme.  Nimesema kwamba vile vile kuna mambo ambayo yanaweza yakaathiri kama vile ukuzaji wa uchumi kwa maana kwamba kama ukuzaji wa uchumi unapaa juu obviously hata mapato pia yataongezeka kwa maana hapa GDP ya mwananchi itaongezeka.

Hapa vile vile nimesema kwamba biashara za Kimataifa vile vile zinaathiri kwa maana sisi tunategemea imports tusipopata biashara ya Kimataifa na hatupati imports vile vile tutakosa mapato.  Nimesema vile vile hiari ya watu wenyewe wananchi kuzoea kulipa kodi watu hawajazoea kulipa kodi wanakwepa kodi haya ndio matatizo.

Written by zittokabwe

April 12, 2011 at 10:10 AM

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: