Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

TAARIFA YA HESABU ZA MASHIRIKA YA UMMA KWA MWAKA WA FEDHA ULIOISHIA 30 JUNI 2009

with 3 comments

View this document on Scribd
Advertisements

3 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. HONGERA SANA, MH. ZITTO, KWA MUWASILISHO ULIO UFANYA LEO, PIA KWA TUKUMBUKA WANANCHI TULIO NJE YA BUNGE NA KUTUMA MREJESHO KUPITIA MTANDAO/

  NI MASIKITIKO MAKUBWA SANA KWA KIWANDA CHA GENERAL TYRES LTD CHA ARUSHA, KUSILIA NDO KINAZAMA AU KIMEZAMA KABISA. MKOPO WA DOLA TAKRIBANI MILIONI KUMI SAWA NA BILIONI 15 ZA KITANZANIA TOKA MFUKO WA HIFADHI NSSF, HAZIELEWEKI ZIMETUMIKAJE. KUNA HAJA YA KAMATI YAKO MHE. MFUATILIE KWA UMAKINI ZAIDI SWALA HILO. HAINGII AKILINI MWA WATANZANIA KABISA ETI ZAIDI YA BILIONI MOJA IMETUMIKA KUMLIPA CONSULTANT TOKA AFRIKA KUSINI, WAKATI WANANCHI WA ARUSHA WAMEPOTEZA AJIRA NA VIPATO. NI AIBU KWA SERIKALI TENA IKIWA INA MILIKI HISA KWA ASILIMIA 74, KUACHIA WAHUNI WACHACHE WATAFUNE MABILIONI.
  ALUTA CONTINUA JAMANI,
  AKHSANTENI

  ANGOLILE RAYSON

  April 6, 2011 at 2:32 PM

 2. Asante Mhe. kwa kutupatia wadau hii Nyaraka inayogusa taasisi zinazohusu usitawi wa maisha yetu.

  Emmanuel D. Chonza

  April 6, 2011 at 4:59 PM

 3. Binafsi nahitaji muda wa kuipitia ili kufahamu yaliyo ndani yake.

  Emmanuel D. Chonza

  April 6, 2011 at 5:07 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: