Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Siku ya Kwanza 07-March-2011: Tukipokea taarifa ya Utekelezaji wa Miradi ya Makaa ya Mawe wa Mchuchuma na Chuma cha Liganga kutoka Shirika La Taifa La Maendeleo(NDC)

leave a comment »

Kushoto Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma(POAC) na Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe, Mwenyekiti wa Bodi ya National Development Corporation(NDC)Dk. Chrisant Mzindakaya, Mwenyekiti wa POAC na Mkurugezi Mtendaji wa NDC Gideon Nasari

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za mashirika ya umma (POAC) wakiwa katika ukumbi wa Hima-Ludewa

Mwenyekiti wa National Development Corporation(NDC) Dk. Chrisant Mzindakaya akitoa ufafanuzi juu ya mradi wa Mchuchuma

Kutokana na tafiti zilizofanyika kiasi cha makaa ya mawe ya Mchuchuma ni:

Kilichohakikiwa tani: 159 milioni

Kilichokisiwa kuwepo zaidi tani: 377 milioni

Jumla Tani: 536 milioni

Highlights za Taarifa ya NDC:

*Kampuni ya Kichina ya Sichuan Hongda Corporation Limited ilishinda zabuni kwa kuwasilisha mapendekezo ya kutekeleza miradi yote mwili(Makaa ya Mawe wa Mchuchuma na Chuma cha Liganga) kwa mfumo unganishi.

*Sichuan Hongda Corporation Limited ikishirikiana na China Development Fund wanatarajia kuwekeza Kiasi cha Dola za Kimarekani Bilioni tatu(USD $ 3 Billion) katka miradi hii mwili ya Mchuchuma na Liganga.

* Kutokana na uwekezaji huo, wankadria kupata mapato ya dola za kimarekani Bilioni(USD 1.2 Billion) kwa mwaka.

* Wanatarajia kuanzisha mgodi wa makaa ya mawe Mchuchuma utakaozalisha jumla tani milioni tatu(3 million tons) kwa mwaka.

* Kujenga Kituo cha Kuzalisha umeme wa megawati 600MW.

Makaa ya mawe -Mchuchuma yapo nje nje

Makaa ya Mawe yapo nje nje

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: