Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Kutembelea Mradi wa Makaa ya Mawe la Katewaka

with one comment

Samples ya structure ya shimo ya Mkaa wa Mawe eneo la Katewaka inayofanyiwa utafiti na Kampuni ya MM Steel

*Jumla ya mashimo tisa(9) yamekwishachimbwa. Matokeo ya awali yanaonyesha kuwepo kwa makaa mengi.

Kampuni ya MM Steel Resources Public Limited Company ilishinda zabuni ya kuzalisha chuma ghafi(sponge Iron) na watazalisha umeme wakitumia makaa ya mawe kutoka Katewaka.

Serikali Kupitia Waraka wa Baraza la Mawaziri Na.14 wa mwaka 2007 iliamua kuwa “ Vilima vidogovidogo vichimbwe kwa utaratibu wa ‘Kasi Mpya’, yaani wawekezaji wadogo na hasa Watanzania wapewe vilima vidogo kuchimba Makaa ya Mawe na Chuma”

Geologist akitoa ufafanuzi

*Mgodi wa Makaa ya mawe utazalisha kwa kiwango cha tani 330,000 kwa mwaka.

Advertisements

Written by zittokabwe

March 14, 2011 at 1:08 AM

One Response

Subscribe to comments with RSS.

  1. Tanzania tuna Rasilimali nyingi kwelikweli. Tunachoambulia watanzania ni kujulishwa tu kuwa kuna makaa ya mawe, kuna mgodi wa dhahabu, kuna mbuga za wanyama, na vivutio vingine lukuki lakini umuhimu wake hauonekani au kujidhihirisha moja kwa moja kwa wananchi. Pamoja na uwepo wa vyote hivi, bado unafuu wa maisha haupo. Rasilimali zenyewe watanzania hatuhisi pia kuwa tuna mamlaka nazo, ni kama vile zina wenyewe fulani hivi wachache.

    Ni hivi majuzi tumeambiwa kuhusu umeme utokanao na upepo Singida. Mradi ambao ilielezwa kuwa, mwezi wa kwanza mwaka huu mitambo ingeanza kufungwa na ungechukua muda wa miezi 15 kukamilika na tatizo la umeme lingepungua kwa kiasi kikubwa. Sina hakika kama mradi huu unaendelea na bahati mbaya haijulikani taarifa ya maendeleo ya mradi huu tuipate wapi na kwa nani, zaidi labda tuwategemee nyinyi wa Upinzani na kwa kiasi chake waandishi wa habari.

    Kila lenye kheri Mh Zitto Kabwe. Huu ni utaratibu mzuri. Iwe hivi na kwa miradi mingine na uzidi kutupa taarifa zaidi za miradi muitembeleayo.

    Albert Kissima

    March 14, 2011 at 8:14 AM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: