Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Mshindi ni Zitto! Namtangaza rasmi Zitto Kabwe Zuberi mbunge wa Kigoma Kaskazini “Ni Zitto Tu” Tarehe:01-11-2010

with 2 comments

Mshindi ni Zitto! Ni Zitto Tu!

Namtangaza rasmi Zitto Kabwe Mbunge wa Kigoma Kaskazini

Advertisements

Written by zittokabwe

November 2, 2010 at 12:01 PM

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Nakupongeza Mh. Zitto kwa ushindi wako wa Kishindo. Ninajua walivyopania kukuondoa pia jinsi walivyopiga kura za maruhani lakini Mungu alikuwa nawe.

  Nimepokea matokeo ya ushindi wako kwa amani. Mungu akusaidie ufanyekazi yako vizuri bungeni.

  Tutaonana nikirudi

  Eng. Magafu,F.F

  November 3, 2010 at 9:41 AM

 2. Hongera sana Zitto kwa ushindi mkubwa hii inaonyesha ni jinsi gani wananchi walivyokuwa na imani na wewe. Kwa kweli kwa miaka mitano iliyopita ulilifanyia taifa hili mambo makubwa ya msingi na faida kubwa.

  Sasa nguvu imeongezeka bungeni tunawaombea afya njema, akili na busara ili muweze kupapambana na maovu ya nchi hii na kutuletea Tanzania maendeleo ya kweli.

  Roger

  November 3, 2010 at 2:11 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: