Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Video Clips ya Ziara ya Kumnadi Vincent Josephat Nyerere -Jimbo La Musoma Mjini

with 3 comments

Ziara ya Kumnadi Vincent Josephat Nyerere -Jimbo La Musoma Mjini
Katika Kata ya Nyamatare, Jimbo La Musoma Mjini
Tarehe:13-10-2010

Mkutano-siamini macho yangu

Mapokezi Mkutano wa Kata ya Nyamatare-MUSOMA MJINI

Vincent Oyeee

CCM Presha inapanda inashuka

Naomba mnipe Vincent

Tutamuonyesha tuliko pita

Advertisements

Written by zittokabwe

October 14, 2010 at 7:15 AM

3 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Sisiem presha inapanda presha inashuka!
  Hongera Zitto kwa kuonyesha njia ya kweli hasa kwa vijana katika kutafuta mabadiliko ya kweli.
  Naomba pia muongezee nguvu katika jimbo la Shinyanga mjini naamini mkiwa na Bob Makani hakika jimbo hilo mtalitwaa kwani watu wa Shinyanga wanapenda mabadiliko. Hope utalifanyia kazi hili.
  Pili katika siku hizi zilizobakia kabla ya uchaguzi muanze pia kuwaandaa mawakala na kuwapiga msasa wa kweli ili wasije kurubunika.

  Ni hayo kwa leo.

  People’s Power! Mabadiliko daima!

  Walugala K. China

  October 14, 2010 at 1:27 PM

 2. MH. ZITTO KABWE MBONA CLIP ZA VIDEO NI ZA MUDA MFUPI SANA?WAKATI YOU TUBE UNAREKODI MPAKA DK 15?PLIZZZZ TUNAHITAJI UHONDO HASA CC WA MBALI MIMI NI MWANACHAMA WA CHADEMA KWAIO WAKATI HUU WA KAMPENI HUITUMIA SANA BLOG YAKO KUANGALIA MAENDELEO YA KAMPENI CHAMA.MDAU SAUDI ARABIA

  MNOGA

  October 18, 2010 at 1:03 AM

 3. Hi zito & silaa Rais mtalajiwa
  Kazeni buti tukopamoja
  31 nilazi tuwakilishe CHADEMA iko juu zaid

  Emmnuel Lucasi

  October 28, 2010 at 12:34 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: