Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Ziara ya Bunda: Kumnadi Mgombea wetu wa Mwibara-Ndugu Chiriko David Aaron

with one comment

Jimbo la Mwibara-Kata ya Iramba

Nikimnadi mgombea wetu wa jimbo la MWIBARA- Ndugu Chiriko David

Ndugu Chiriko David-mgombea ubunge wetu jimbo la MWIBARA

Nikimnadi mgombea wetu wa udiwani Ndugu Lugoba Mtani

Kata ya Namhula:Mkutano wa pili kumnadi Ndugu Chiriko jimbo la Mwibara

Nikimnadi mgombea wetu katika Kata ya Namhula

Nikimnadi mgombea wetu wa udiwani Kata ya Namhula-Ndugu Manyama Bruno

Advertisements

Written by zittokabwe

October 4, 2010 at 8:25 AM

One Response

Subscribe to comments with RSS.

  1. Kumetokea matatizo ya baadhi ya madiwani hasa wa Bunda kujitoa kwenye kinyanganyilo cha uchaguzi eti kutokana tu na kutokuwa na fedha za kuendeshea kampeni. Ni ukweli ambao uko wazi kuwa udhaifu wa kutokuwepo kwa pesa kumewafanya wagombea wa CCM kuwanunua baadhi ya wagombea udiwani wa CHADEMA na kujitoa kwenye kinyanganyilo tena kwenye kata ambazo kulikuwa na uhakika wa wazi kuwa CCM ingeshindwa. Nilihitaji kujua wewe Zitto kama kiongozi wa CHADEMA unalizungumziaje hilo

    Bai SM

    October 6, 2010 at 3:12 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: