Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Kumnadi Mgombea wetu wa Mtwara Mjini-Ndugu Athman Jetha Edwin Tarehe:21-09-2010

with 3 comments

Kumnadi Mgombea wetu wa Mtwara Mjini-Ndugu Athman Jetha Edwin

Tarehe:21-09-2010

Nikimnadi mgombea wetu wa Mtwara Mjini-Ndugu Athman Jetha Edwin

Mgombea wetu wa Mtwara Mjini-Ndugu Athman Jetha Edwin

Na Mzee Kingunge on my flight back to Dar leo asubuhi

Advertisements

Written by zittokabwe

September 22, 2010 at 5:55 PM

3 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Ninaomba kutoa maoni yangu kwa ajiri ya kampeni zenu zinazoendelea kama ifuatavyo:-
  1. Mgombea Urais wetu Dr. Slaa aeleze kwa ufasaha sera za chama hasa kuhusu uchumi kama alivyoeleza wakati anazindua kampeni. Aeleze vyema ili sera hii ya uchumi ieleweke kama alivyoeleza za elimu na Afya. Sera ya Uchumi inawagusa watanzania wengi kwani mambo ya uchumi wa taifa letu ni mabaya sana na watu yanayaona makali hayo ya kiuchumi. Aongeze kasi ya kuifafanua sera hiyo na kueleza wazi jinsi watakavyofufua viwanda na kujenga vingine vipya. Sera hizi azieleze vizuri kabisa na kwa ufasaha.
  2. Mgombea Urais Dr Slaa aache kulumbana na watumishi wa serikali na makundi mengine. Aache kuzungumzia mambo ya magazetini. Atulie aonekane kuwa ni mtu mwenye busara anayefaa kukabidhiwa rungu la kuiongoza nchi hii. Tujifunze kwa Mrema mwaka 2005 alipoanza kushambuliana na watu / taasisi kama polisi n.k … Mrema aliporomoka kisiasa na kiumaarufu. Mambo hayo awaachie wanasheria wa Chadema, kaimu katibu mkuu na kampeni meneja wake Prof. Baregu ndo wayafanye na yeye asijiingize huko. Atulie na kufafanua sera za chama.
  3. Sera moja wapo nzuri sana ya Chadema ni maendeleo kupitia mfumo wa Majimbo. Naomba sana Mh. Dr Slaa akifika mahali awe anafafanua vyema sera hii na kueleza matatizo ya wananchi wa eneo husika yatakavyotafutiwa ufumbuzi wakati wa utawala wake. Aeleze bayana na kwa ufasaha jinsi sera ya Majimbo itakavyo harakisha maendeleo. Sera hii ni nzuri na China wameitumia vizuri kupata maendeleao…. anapaswa kuieleza kwa wananchi ili waielewe vyema.
  4. Mwisho kabisa ni ziara zenu za kampeini katika mikoa ya Tanga, Iringa, Ruvuma na Mbeya. Naomba huko mueleze vyema sera zenu za kilimo, ukuzaji wa viwanda vya kusindika mazao na uchumi.

  Mwisho nawatakia kampeni njema.
  Vilevile niombe samahani kwani sijui kama maoni yangu nimeyatoa mahali sahihi. Huu ni ujumbe wa Chama cha Chadema na ni Rasmi kwa Dr Slaa lakini website ya Chadema haifunguki hapa nilipo kwa ajiri ya sera za nchi niliyoko kwa sasa.

  Kila la heri

  Eng. Dr. Fredrick (Ph.D civil Engineering /Highway).

  Eng. Magafu,F.F

  September 23, 2010 at 6:31 PM

 2. Well done said Eng.Magafu,
  I absolutely agree with you will aspects.
  Dr.Silaa ameeleza sana kuhusu swala la Elimu na Afya naninatumaini wananchi wengi wameshalielewa ila suala la Uchumi ndo mziki mkubwa unaohitaji kutolewa maelezo mazuri na mipango endelevu.
  Nchi hii iko kwenye default,maana maisha yanazidi kuwa juu na mamilioni ya wanachi wanazidi kuwa masikini kila kukicha,nchi hii hii ya Tanzania bado watu wengi sana hata mlo kwa siku bado ni ndoto kwao na wanapopata inakuwa ni sherehe kwao.
  Mapinduzi ya viwanda nchini ni swala la kipa umbele sana na nchi nyingi zimeendelea sio kwa kilimo kwanza bali kwa viwanda kwanza,kwani kupitia viwanda watu wengi watapata ajira na kupatia Taifa pato kubwa zaidi.
  Nawatakia kampeni njema na Ushindi mwema maana mwaka huu watanzania hatudanganyiki tena na tunasema enough is enough.

  Dr.Mallaba

  September 26, 2010 at 12:04 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: