Kumnadi Mgombea wetu Habibu Mchange anayegombea Kibaha Mjini
Leo nimeanza rasmi mzunguko nchi nzima kuwasaidia wagombea ubunge na diwani wa CHADEMA katika majimbo na Kata zao.
Jimbo: KIBAHA MJINI
Tarehe: 18-09-2010
Mgombea: HABIBU MCHANGE
Advertisements
Please inform me about all campagne
JUMA KAMBAJECK
September 19, 2010 at 12:33 PM
kaka kaza uzi jimbo hilo lako maana ccm wameshindwa kazi kwa hiyo wakati wao wa kuachia nchi umefika usiogope vitisho vyao….komaa nao tumewachoka
charlez
September 20, 2010 at 9:56 AM