Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Video Clips za Kampeni Mkutano wa Tisa Kijiji cha Kamara, Kata ya Mungonya,Kigoma Kaskazini Tarehe: 05-09-2010

with 2 comments

Advertisements

Written by zittokabwe

September 7, 2010 at 7:55 AM

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. mi naamini kila kitu kipo wazi kwa mheshimiwa zitto kabwe yani ni tayari kashashinda mtu wa watu mtu makini na mtu mwenye fikra,hatutakubali hata kidogo ccm wakileta mchezo wao mchafu,kaka tupo pamoja MUNGU azidi kukupa uhai kwa kuendelea kutetea maskini na wanyonge walio na utjili ,mali,maliasili ya kutosha lakini vinaliwa na wachache kwasababu ya kuwa na viongozi wenye mawazo mgandona wanaoendelea kutuweka katika umaskini wa kutisha hii leo dola 1 ya marekani ni sawa 1500 ya kitanzania halafu bado rais kikwete anaongopea watu jamani ni dhambi kubwa shirika la ndege la tanzania lina ndege mbili moja ya kukodi moja ndio yao halafu anahaidi kujenga kiwanja cha kimataifa bukoba inaingia akilini kweli?dodoma uwanja mpya bado kitendawili watu walioamishwa hawalipwa mpk leo,watanzania tuendeleee kuwashabikia ccm ila tutakiona cha moto,kwa tarifa tu uwanja wa ndege wa mwl jk unataka kuuzwa kwa kampuni ya sonango kutoka japani yani ni kichekesho,nina aminiu ipo siku sauti ya watanzania walio wengi itasikika na mungu atatubaliki,ZITTO KABWE the next presiditial post in tanzania 2015,atay say brother

  denis

  September 7, 2010 at 10:54 AM

 2. Kazi nzuri sana Mhe Zitto
  Ushauri wangu kitu kama hiki kifanyike kwa Kampeni za Urais pia! Video clips zinazozungumzia failed promises za CCM na campaign trails zinahitajika sana!

  lema

  September 7, 2010 at 3:08 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: