Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Mkutano wa Sita: Kijiji cha Kidahwe, Kata ya Matendo,Kigoma Kaskazini Tarehe: 02-09-2010

with 3 comments

Advertisements

Written by zittokabwe

September 3, 2010 at 9:36 AM

3 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Mheshimiwa wewe sasa ushakuwa mkongwe kisiasa, hebu achana na jimbo lako kwa muda zunguka Kigoma nzima kutia chachu kampeni za wanaCHADEMA wenzio. CCM wasiwe na chao KIGOMA, please nenda kawatie nguvu. Vinginevyo majombo mengine YATACHACHULIWA na CCM na ilo litakuwa kosa kubwa mno.

  Kalumanzila

  September 3, 2010 at 10:04 AM

  • Kalumanzila, nakubaliana na wewe na tayari ninafanya hivyo. Nimekwenda Jimbo la Manyovu tayari kumnadi mgombea wetu kule. Pia nimemsaidia Mzee Ntangazwa na nitasaidia wengi zaidi. Lengo ni kuhakikisha kuwa tunapata majimbo mengi zaidi hapa Kigoma. Nimedhamiria kupata majimbo 5 ya CHADEMA mkoani Kigoma. Hii ni muhimu hata kwa mustakabali wangu wa kisiasa hapa nchini miaka ijayo. Lazima niwe na ngome na ipo. Tuunge mkono

   zittokabwe

   September 3, 2010 at 7:36 PM

 2. kaka pole na kazi, aisee nakuaminia. Unajua mkoa wetu ndo wa mwisho kwa vitu vingi sana, Tunakushukuru kaka kwa hiyo barabara ingawa mimi napitia barabara hiyo hiyo kufika nyumbani, wewe ni mjanja watake wasitake, wabunge wengi wa kgm hawakufanya kitu chochote.

  sasa kaka, Nikukumbushe, kama swala la DECI linaruhusiwa kuzungumzia kwenye kampen lizungumze uwaeleze jinsi utakavyoshughulikia, wananchi wengi walipoteza pesa.

  Sina mengi kaka, nashukuru sana kwa barabara hiyo, manake ninachohitaji sasa ni kununua gari langu niwe naenda na gari langu tu home na si tex kwa book tatu kama ulivyokuwa unasema.

  Kwa kweli masika ilikuwa inakuwa kero nauli ilishawahi kufika book 10, kilimeta ambazo hazifiki 80, tulikuwa tunaumia kweli.

  Mi niko mkoani nimeona na kusikia kampeni zako kupitia mtandaoni kwa kweli unachokisema ni kweli.

  Wakumbushe maendeleo ya kweli hayaji kwa kupokea pesa ndogo ndogo wakati wa uchaguzi.

  By MDAU.

  jewe kahigi

  September 3, 2010 at 6:09 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: