Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Uchaguzi 2010: Chagua Mbunge Zitto Kabwe -Jimbo Kigoma Kaskazini

with 12 comments

Advertisements

Written by zittokabwe

August 17, 2010 at 4:21 PM

12 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Changes is possible.

  Joseph Ngutu

  August 18, 2010 at 3:36 PM

 2. This is a very well designed poster. Congratulations to the designer. Only that I’d have loved not to see the national map, not that it’s bad, but doesn’t blend well with the rest of the colors, but that’s minor, not such an issue. (and I don’t mean to be non patriotic at all).

  Subi

  August 19, 2010 at 11:54 PM

 3. Subi nashukuru sana kwa support

  zittokabwe

  August 20, 2010 at 6:41 AM

 4. kaka zitto tupo pamoja,mungu akutangulie na kukubariki na kukupigania katika uchaguzi wa mwaka huu.

  baraka daniel kiranga(20)

  August 20, 2010 at 10:43 AM

 5. songa mbele ndugu zitto Mungu akupiganie upate ushindi

  Nestory Ihano

  August 24, 2010 at 1:21 PM

 6. Hello Brother Zitto, Im encouraging you to keep it up and we all young men, we are in the same boat, Im sure we are going to reach our destination which is the victory of this year election.

  EMMANUEL MRAMBA

  August 24, 2010 at 4:58 PM

 7. Hello Zitto,
  Pole na uchovu wa kampeni…. Naamini vijana ndo nguvu kazi ya Taifa lolote duniani ambalo linataka kupata maendeleo ya kweli. ukiwa mmoja wa vijana hao tunaomba mpiganie maendeleo ya kweli mpaka kieleweke. Bila kujali chama, dini, kabila na jinsia vijana lazima tuungane kutokomeza ufisadi wa kila aina katika nchi yetu.

  MUNGU ibariki Tanzania! MUNGU mbariki Zitto Kabwe na Vijana wote!

  Metta Hendrick Nahonyo

  August 25, 2010 at 10:42 AM

 8. muheshimiwa zito tuko nyuma yako sisi mafans wa chadema lakini sasa wasiwasi wangu ni sisi wanafunzi kupiga kula kama mimi mfano niko bukoba na nimejiandikishia chuoni udsm na chuo kinafunguliwa baada ya uchaguzi sasa hapo tutafanyaje

  ackley

  August 26, 2010 at 9:44 AM

 9. muheshimiwa nakutakia kampeni njema na ulejee ndani ya mjengo ili ututetee vijana kwa tunaimani na sera za chama na wewe mwenye lakini uje na moto wa 2005

  ezra mugisha

  August 27, 2010 at 10:04 PM

 10. MIMI NAISHI TARIME,SINA SHAKA NA ZITTO LAMCINGI NI WANANCHI WA KIGOMA KUFANYA JUU CHINI ILI ARUDI MJENGONI CC TUKO PA1

  CHACHA MARWA

  September 20, 2010 at 11:56 AM

 11. habari yako bro, pole na mapambano ya kutaka kuikomboa nchi tarime 2ko pa1 nawe bro, tarime unakuja lini kufunika???

  CHACHA MARWA

  October 19, 2010 at 2:23 AM

 12. bro mambo yanakuwaje tena mbona tena 2nackia unavuliwa naibu msemaji kambi ye2 kunani cha mcngi?

  chacha marwa

  December 11, 2010 at 9:08 AM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: