Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Jimboni Kigoma-Kutoa Shukrani

with 6 comments

Advertisements

Written by zittokabwe

August 10, 2010 at 5:25 PM

Posted in Zitto Kabwe

6 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Hongera kwa jitihada zako za kutetea maslahi ya watanzania na kutuwakilisha wananchi vyema bungeni.

  Wana Kigoma kaskazini wasifanye makosa kuacha kukuchagua ueendelee kuwawakilisha,mapinduzi yanaanza na wananchi wenyewe.

  All the best.

  Mwanaid

  Mwanaid

  August 11, 2010 at 10:46 AM

 2. Mkuu heshma yako,

  Nimefurahi sana kuona umefufua hii spirit ya kupost mawazo yako na matukio kwenye website. I reall looked forward for this for a long time.

  Ninayo mengi sana ya kujadili kuhusiana na umuhimu wa kufanya hivi na jinsi ya kufanya lakini kwa leo naomba nikusihi sana kwamba tafadhali jaribuni kama chama kum-publish Dr Slaa kwenye web. Kila fursa inayopatikana itumiwe vizuri kuanzia twitter, facebook, wikipedia, kupost kila video clip kwenye youtube, nk

  Watanzania tulio nje wingi wetu na influence yetu kwa watakaopiga kura October si ya kubeza hata kidogo! Sihitaji kufafanua hilo kwako Mh. CCM wanajua hilo na wametumia hata resources za serikali ku-capitalize on diaspora influence and resources….na wanafanikiwa.

  Kila kura inabidi ipewe kipaumbele Zitto

  Sababu kubwa ya ku-mpublisize Dr. Slaa ni kuwa watu wengi wanamjua kama mnyoosha kidole kwa ufisadi lakini mimi na wewe tunajua kuwa it takes much more for presidency. Personally I do not doubt his capacity but I can assure you the vast majority will need a detailed and well thought introduction to the man.

  Nikuache kwa leo

  Remigius Juvenary

  August 11, 2010 at 10:52 AM

 3. Hongera sana Mheshimiwa kwa juhudi zako! Nina imani mabadiliko ya kweli mtayaona pindi viongozi makini watakapoingia madarakani na kuacha kuifanya nchi yetu kua kichwa cha mwendawazimu!

  Moshiro

  August 11, 2010 at 12:00 PM

 4. Kaka vp nimeiona blong yako nimefarijika sana sasa kaka naomba unitoe shaka ninasikia makundi yameibuka tena ndani ya chama hili lina ukweli gani? Pia kuhusu mfungamano na kanisa catholic ! Najua utanijiabu kwa ufasaa ili dukuduku liishe

  Ibra

  August 11, 2010 at 3:45 PM

 5. Rafiki yangu zitto, ninafarijika ninapoona jinsi CHADEMA kupitia kwa Mgombea wa kiti cha urais Muheshimiwa Wilbrod Slaa, getting more influence at district level, Wakati CCM wakiumana meno kwenye kura zao za maoni huku TAKUKURU wakiburuzana nao pembe hadi pembe wakati zile pesa zao za EPA zikigawiwa kama njugu, wameanza kugawanyika na hivyo kuonyesha jinsi Slaa anavyokwenda IKULU, na kuwaacha CCM wakiburuzana mahakamani,natamani kuuona uongozi wa CHADEMA ukitulia na kufanya mambo yao kisomi zaidi, tupo nyuma yenu, wafanya kazi wako nyuma yenu, wavuvi wapo nyuma yenu na hata wale watanzania wa Kibaoni Mpanda wako nyuma yenu, hii nchi ni yetu sote lazima kwa uwezo wa MUNGU tuichukue nchi na majirani na wengineo Dunian washangae,
  Nikutakie Mfungo mwema wa Ramadhan, Mwenyezi Mungu awaepushe na baraa, awape afya njema, October2010 iandikwe historia mpya

  Isack Kihoro

  August 11, 2010 at 5:35 PM

 6. Napenda blogu hii. Ina mengi ya kutafakarisha – hasa kuhusu nafasi yetu Watanzania katika maendeleo ya Dunia. Naamini utaendeleza spirit ya Kijamaa – maana ulipata kunukuliwa ukisema kwamba wewe ni Mjamaa. Bila shaka ni Ujamaa wa kisasa – ujamaa unaolenga kumkwamua mtu bila kujali jinsi, rangi, kabila, chama, anamiliki nini n.k. Tuko pamoja katika harakati za ukombozi. Safari bado ni ndefu. Ni wakati wa kufunga mikanda. Ni wakati wa kuja na viongozi wenye visheni, viongozi wanafalsafa, viongozi wanaojiweka nyuma katika kutafuta maslahi – yaani wanaweka watu wao mbele kwanza kabla ya wao wenyewe. Mungu Ibariki Tanzania. Tupe ujasiri wa kulitetea Taifa letu na utu wetu na uhuru wetu. Amina.

  kakasimba

  August 13, 2010 at 10:34 AM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: