Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Dk. Wilbroad Slaa achukua fomu za Urais

with one comment

Chanzo: Pwani Raha

DK. Slaa akionyesha fomu kwa wananchi baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi.

Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Lewis Makame akimkabidhi fomu Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe huku Rais mtarajiwa DK.Slaa akishudia (kushoto)

DK.Wilbrod Slaa ambaye ni mgombea wa urais kupitia chama cha Chadema akipongezana na mgombea mwenza Hamis Mzee Hamisi baada ya kukabiziwa fomu na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Lewis Makame katikati ni Mwenyekiti wa Chama cha Chadema Freeman Mbowe.

Advertisements

Written by zittokabwe

August 10, 2010 at 2:37 AM

One Response

Subscribe to comments with RSS.

  1. natamani Wapinzani wote wangeungana na kupendekeza Dr.Slaa ndio atuwakilishe kwani ingekuwa ni uchaguzi wa kihistoria.

    Dr.Slaa ni mtu shupavu na atakayetufaa Tanzania,tuungane kumpeleka Ikulu kwa kura zetu.

    Kila la kheri Dr.Slaa,watanzania tupo nyuma yako.

    Mwanaid

    August 11, 2010 at 10:50 AM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: