Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Tumeweka Msingi, Sasa Tujenge

with 8 comments

Advertisements

Written by zittokabwe

July 22, 2010 at 7:35 PM

Posted in Zitto Kabwe

8 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Mhe. Zitto, picha imekuwa ndogo maandishi hayo hayasomeki mkuu. Tungependa kuisoma na kuisambaza zaidi kwa raisa, ila kwa ukubwa unaosomeka. Tafadhali ikiwezekana nitumie kwenye anwani yangu (nimeiandika hapo) nami nitaiweka kwenye tovuti inayoweza kukikuza kwa ukubwa wake.
  Shukran!

  Subi

  July 22, 2010 at 8:32 PM

 2. Endelea hivyo hivyo. Itakuwa ni jambo jema kama kila mgombea akiwa na vielelezo ambavyo vinaweza “kupimika” kama hapo juu!

  SN

  July 28, 2010 at 12:01 AM

 3. Kazi nzuri mh. Zitto! Mimi nadhani serikali ingeweka utaratibu “formal” kama huu wa kufanya tathmini ya kazi zilizofanywa na wabunge na mafanikio yaliyopatikana kwenye majimbo yao. Tathmini hii iwe ndio kigezo cha jina la mgombea kupitishwa na chama chake kwa ajili ya kupigiwa kura na wananchi. Kwa uzoefu wangu wananchi wengi hawana uwezo wa kupima kiwango cha maendeleo yaliyoletwa na wabunge wao; na pengine huwachagua wabunge walewale miaka nenda rudi kwa kurubuniwa na migao ya kanga, vyakula n.k. Pia wabunge wengi majina yao yamekuwa yakipitishwa na vyama vyao bila kufanya tathmini ya kina ya mafanikio ya kazi zao katika majimbo yao; pengine kwa kutumia utaratibu uliozoeleka wa “kuwaweka sawa” viongozi wa vyama vyao wa wilaya na mkoa.

  Kaghembe

  July 30, 2010 at 12:55 AM

 4. well done,u deserve to be the MP

  Dr.Mallaba

  August 5, 2010 at 6:26 PM

 5. u r the only politician whom i trust in our country.

  IF VOTING FOR YOU IS WRONG THEN WE DON’T WANT TO BE RIGHT!!!!!!!!!

  haibe

  August 11, 2010 at 8:52 AM

 6. kaka u r the only politician whom i trust in our country.

  IF VOTING FOR YOU IS WRONG THEN WE DON’T WANT TO BE RIGHT!!!!!!!!!

  haibe

  August 11, 2010 at 8:53 AM

 7. Shule za kata zina walimu wangapi ktkkila shule? Je wanafunzi wangapi wanafaulu kwa kiwango cha kuridhisha? Kuna nyumba ngapi za waalimu? na vyumba vya madarasa, maabara na maktaba ziko ngapi?

  Bei ya kahawa anapanga nani? kama kumbukumbu yangu iko sahihi Tanzania ni free market economy, je sio demand na supply vinavyofanyiza bei kupanda au kushuka? au tuseme umewapa wananchi ruzuku na pembejeo kiasi gani ili kufanikisha kilimo na yenye ubora wa kimataifa?

  Vijiji ndo vimepimwa na mashamba ya wananchi? kwa kijiji kupimwa mwanachi kama mu binafsi amefaidiki nini? je kwa kijiji kipimwa Uncle Kalumanzila aliweza kukopeshwa na na vyombe vya fedha na kina kalumanzila wangapi wameshakopeshwa na ni kiasi gani cha fedha kwa ujumla wake?

  Kaka Trio

  August 11, 2010 at 9:01 AM

 8. Hey Mheshimiwa Zitto!

  I real appreaciate your heart for our country.JUST IMAGINE IF WE COULD HAVE 30 MPS LIKE YOU IN OUR COUNTRY.

  YOU KNOW IT HAS REACHED A MOMENT TANZANIANS ARE NOT INTERESTED WITH POLITICS ISSUES .JUST LOOK THE STATISTICS OF PEOPLE WHO VOTE DURING ELECTIONS AND THOSE WHO DONT VOTE AT ALL.THERE IS NO EQUALITY.MANY ARE THOSE WHO DONT VOTE COMPARED TO THOSE WHO VOTE.

  THIS IS CZ MOST OF MPS DONT FULFIL THEIR PROMISES.AND THIS IS VERY CRITICAL PROBLEM.

  THTS WHY U FIND DURING ELECTION SEASONS MOST OF MPS GIVE BRIBE TO GET BACK THEIR POSITION

  I THINK ON MY PERSPECTIVE ,IF ALL MP COULD FULFIL THIER PROMISES,THERE WOULD BE NO NEED TO GIVE BRIBE TO GET BACK UR POSITION.

  PEOPLE WILL GIVE U VOTES CZ U MEET NEEDS AND U DO WHT THEY EXPEPT, AND THIS WILL NOT BE CZ U GIVE BRIBES TO THEM.

  CZ RIGHT NOW PEOPLE ARE REAL DISCOURAGED WITH THE CURRENTY SITUATION.

  GOD GIVE TANZANIANS THE LEADERS WHO CAN KEEP THEIR PROMISES.

  PLEASE ZITTO KEEP ON KEEPING YOUR PROMISES.

  mwanja Reuben

  August 27, 2010 at 1:03 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: