Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Karibu

with 4 comments

Ndugu msomaji, nimekuwa na blogu hapo kabla lakini sikuweza kuifanyi kazi kama invyostahili. Nimeamua kuanzisha blogu hii mpya ili liwe jukwaa la kujadiliana jinsi ya kuimarisha demokrasia nchini kwetu Tanzania, Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla. Karibu kwa maoni, ushauri na hata makatazo!

Advertisements

Written by zittokabwe

May 25, 2010 at 6:53 AM

Posted in Uncategorized

4 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. I really appreciate your work and commitment to this nation, we really need more parliament members who are focus, dedicated and goal oriented. Tanzania needs people who are ready to sacrifice themselves to work and be committed for the benefit of current and future generation, who are there not to sell their country but to protect it, who are not fighting for the bread but secure resources for providing community bread. Tanzania is our country, our nation and our home lets make it greener economically, politically and socially. Positive mind is a great treasure, lets think positively

  JOSHUA ELIAS
  ASSISTANT LECTURE
  TUMAINI UNIVERSITY – SMMUCo
  MOSHI – TANZANIA

  JOSHUA

  May 30, 2010 at 1:58 AM

 2. Tuko Pamoja!

  Simon Kitururu

  June 8, 2010 at 7:39 PM

 3. mpendwa na Mhe. ZITTO Kabwe; dalili ya mvua ni mawingu. Chama chenu kinaonekana kuwa leo kuiteka Tanzania na Watanzania kwa ujumla. Hatari iliyoko mbele yenu katika uchaguzi wa 2015 ni kugombania madaraka ya Uraisi. CCM kwa sasa imechokwa na wengi, lakini mnaweza kukosa kuchukua dola kwa sababu ya kugombea nani awe Raisi wa kwanza. Hebu fanyeni kama ilivyokuwa kenya wakamchagua mwai Kibaki na baadaye mjipange. Msipokubali haya ninayoyasema ndugu zangu, mtapata wabunge; lakini Uraisi; ng’o. Inahitajika nidhamu ya hali ya juu kuiondoa CCM. Sitabilii mtu yeyote, lakini tafakarini kwa makini hapo mlipo bila kumung’unya maneno. I am not a prophet of doom but I can tell you that; you are about to win and take the lead of this country. But I also sense chaos, discrimination, high intelligency, ujinga, shetani, mgawanyiko na upumbavu. Dhana hii haitawafikisha popote bali hamtaikamata nchi. AMINA

  MCHUNGAJI

  May 29, 2012 at 3:08 AM

 4. Mhe.zitto kabwe kwanza pole na majukumu ya kulikomboa taifa hili. Nina jambo linanitatiza huku njombe mlimteua nyimbo awe mlezi wa chadema na aliingia chadema baada ya kuanguka kwenykula za maoni ccm.kinacho nishangaza ameachana na siasa amefunga na office za chadema amefuta na rangi zinazo onesha alama za chama.sasa kama office zile ziligalamiwa na chadema mtu huyu kwanini asishitakiwe ?lapili nawaombeni m4c iludi haraka kufungua matawi kwani huku chadema ili pamba moto na nina hofia hizi ni njama tu za ccm kuhofia kunyan’ganywa jimbo 2015 njombe magharibi ILEMBULA naombeni mje tujiandae kuchukua jimbo 2015 kwani ni letu tu.joseph kinyamagoha toka ilembula njombe.

  joseph kinyamagoha

  November 26, 2012 at 5:20 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: